Habari
UKARABATI KIVUKO CHA MV. PANGANI II WAKAMILIKA
Posted on: February 09, 2020Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Eng. Japhet Y. Maselle amekagua kivuko cha MV. PANGANI II baada ya Kukamilika kwa ukarabati wake. Kivuko hicho kimefanyiwa ukarabati mkubwa ikiwemo kubadilishiwa mfumo mpya ........
Soma zaidiTEMESA YAFANYA KIKAO CHA MAPITIO YA UTENDAJI KAZI KWA NUSU MWAKA 2019/20
Posted on: February 05, 2020Mameneja wa mikoa na vituo wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wamefanya kikao cha mapitio ya taarifa ya utendaji kazi wa nusu mwaka........
Soma zaidiKIVUKO CHA MV. ILEMELA CHAFANYIWA MAJARIBIO
Posted on: January 29, 2020Kivuko kipya cha MV.Ilemela leo kimefanyiwa majaribio na kushuhudiwa na mamia ya wakazi wa Wilaya ya Ilemela akiwemo Mbunge wa jimbo hilo Dkt.Angelina Mabula....
Soma zaidiKIVUKO KIPYA CHA KAYENZE BEZI (MV.ILEMELA) CHASHUSHWA KWENYE MAJI
Posted on: January 07, 2020Wakazi wa Ilemela mkoa wa Mwanza leo wameshuhudia kwa mara ya kwanza kivuko kipya cha Kayenze Bezi, MV.Ilemela........
Soma zaidi
RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA GAWIO LA BILIONI 1.13 KUTOKA TEMESA
Posted on: November 26, 2019Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akipokea mfano wa hundi ya Shilingi Bilioni 1.13 ikiwa ni gawio la Wakala wa Ufundi na Umeme........
Soma zaidi