Habari
WAZIRI MHANDISI KAMWELWE ATOA MIEZI MITATU KWA TEMESA
Posted on: July 17, 2019Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, ametoa miezi mitatu kwa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kuacha kuelekeza magari ya Serikali kwenye.... ...
Soma zaidiTEMESA YAFANYA KIKAO CHA WADAU MKOA WA KILIMANJARO NA ARUSHA
Posted on: July 17, 2019Vikao vya Wadau wa Wakala wa Ufundi na Umeme nchini (TEMESA) kujadili huduma za wakala na kupata mrejesho wa namna zinavyotolewa vimeendelea wiki hii ambapo maafisa waTEMESA wametembelea mikoa ya Kilimanjaro na Arusha.......
Soma zaidiTEMESA TANGA YAALIKA WADAU KUSIKILIZA KERO ZAO
Posted on: July 11, 2019Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) mkoa wa Tanga jana umealika wadau wanaotumia huduma zake ili kujadilli na kupata mrejesho kuhusu namna........
Soma zaidiUKARABATI WA KIVUKO CHA MV. PANGANI II MBIONI KUKAMILIKA
Posted on: July 04, 2019Kivuko cha MV. Pangani II ambacho awali kilikua kikijulikana kama MV. Utete kinatarajiwa kukamilika hivi karibuni na kuanza kutoa huduma katika mto Pangani kati ya Pangani na Bweni mkoani Tanga. Kivuko hicho ambacho ...
Soma zaidiTEMESA SINGIDA YAAGIZWA KUTUMIA VIZURI RASILIMALI WATU
Posted on: June 13, 2019Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle mwishoni mwa wiki hii ametembelea karakana ya Wakala huo mkoa wa Singida na kumuagiza kaimu meneja kujitahidi kutumia vizuri rasilimali watu........
Soma zaidi