Habari
MTENDAJI MKUU TEMESA ATEMBELEA BANDA LA WAKALA NANENANE
Posted on: August 08, 2020Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Maselle leo ametembelea banda la Wakala huo katika Maonesho ya Wakulima Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Nyakabindi Wilayani Bariadi mkoa wa Simiyu....
Soma zaidiWAZIRI KAIRUKI NA WAZIRI HASUNGA WATEMBELEA TEMESA NANENANE SIMIYU
Posted on: August 03, 2020Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji Mhe.Angellah Kairuki pamoja na Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga leo wametembelea banda la Wakala wa........
Soma zaidiUJENZI WA VIVUKO VIPYA VITATU KUKAMILIKA MWEZI AGOSTI 2020
Posted on: July 20, 2020UJENZI WA VIVUKO VIPYA VITATU KUKAMILIKA MWEZI AGOSTI MWAKA HUU Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme nchini TEMESA inatarajiwa kukamilisha ujenzi wa vivuko vipya vitatu ifikapo mwezi Agosti mwaka huu. Hayo yamebainishwa leo wakati Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala huo Profesa Idrissa Mshoro........
Soma zaidiMAONESHO YA 44 YA KIMATAIFA YA BIASHARA SABASABA
Posted on: July 03, 2020Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) unashiriki Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa maaarufu Sabasaba….....
Soma zaidiMV. KIGAMBONI YAREJEA MAGOGONI
Posted on: May 30, 2020Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe leo amepokea Kivuko cha MV Kigamboni kilichokuwa kinafanyiwa ukarabati mkubwa katika eneo la Kigamboni jijini Dar es salaam........
Soma zaidi