Habari
WAJUMBE BODI YA USHAURI TEMESA WAPONGEZA KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI
Posted on: October 02, 2020Wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA MAB) wameupongeza Wakala huo kwa kufanya juhudi kubwa kuhakikisha miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha wa 2019/2020 inatekelezwa na kumalizika kwa wakati........
Soma zaidiMTENDAJI MKUU TEMESA AIPONGEZA KAMATI YA UKAGUZI WA MAHESABU
Posted on: September 24, 2020Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Maselle leo ameshiriki katika hafla fupi ya kuiaga kamati ya ukaguzi wa mahesabu yaTEMESA ilyopita na kuikaribisha........
Soma zaidiKATIBU MKUU MWAKALINGA AIAGIZA TEMESA KUTUNZA NA KUHESHIMU RASILIMALI WATU
Posted on: September 11, 2020Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius A. Mwakalinga ameutaka Wakala huo kutumia Baraza la Wafanyakazi kuhakikisha ...
Soma zaidiSERIKALI YATENGA BILIONI 9.5 KUIMARISHA KARAKANA ZA TEMESA
Posted on: September 07, 2020Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) imetenga kiasi cha shilingi bilioni 9,538,970,000/= katika bajeti ya mwaka wa fedha 2020/2021 kwa ajili ya miradi ya maendeleo ya karakana kutoka Mfuko Mkuu wa Serikali (GOT)........
Soma zaidiWAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MAFIA
Posted on: August 14, 2020WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inafanya jitihada kuhakikisha tatizo la usafiri kwa wananchi wa Mafia linakwisha.........
Soma zaidi