Dira na Dhima

DIRA
Kutoa huduma za kuaminika, salama na za hali ya juu za umeme, mitambo na elektroniki, huduma za vivuko na ukodishaji mitambo kwa kutumia teknolojia ya kisasa.

DHIMA
Kuwa taasisi yenye ufanisi na ubunifu ambayo hutoa huduma za uhandisi ambao unatilia mkazo kuridhika kwa wateja.