Habari

news image

MWENYEKITI BODI YA USHAURI AZURU TEMESA

Posted on: September 24, 2019

Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Profesa Eng. Iddris Bilali Mshoro amezuru........

Soma zaidi
news image

SERIKALI YAZINDUA UJENZI WA VIVUKO VIPYA VYA BUGOROLA-UKARA, CHATO-NKOME

Posted on: August 27, 2019

SERIKALI imezindua rasmi ujenzi wa vivuko vipya viwili vya kisasa vitakavyotoa huduma ya kusafirisha abiria, mizigo na magari kati ya Bugorola-Ukara Wilaya ya Ukerewe Mkoa wa Mwanza na Chato-Nkome Wilaya ya Chato mkoani........

Soma zaidi
news image

WAZIRI KAMWELWE AKAGUA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA KIVUKO KIPYA CHA MAFIA NYAMISATI

Posted on: August 26, 2019

Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amefanya ziara kukagua eneo la mradi wa ujenzi wa kivuko kipya kitakachotoa huduma kati ya Mafia na Nyamisati........

Soma zaidi
news image

TEMESA YASHIKA NAFASI YA PILI TAASISI ZA UMMA NANENANE SIMIYU

Posted on: August 08, 2019

Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA umeshinda Cheti cha Ushindi pamoja na Kikombe kwa kuwa mshindi wa pili........

Soma zaidi
news image

TEMESA YASHIRIKI MAONESHO YA WAKULIMA NANENANE SIMIYU

Posted on: August 03, 2019

Wakala wa Ufundi na Umeme nchini TEMESA unashiriki Maonesho ya Wakulima Nanenane Kitaifa mwaka 2019 ambayo yameanza rasmi huko mkoani Simiyu, maonesho hayo.......

Soma zaidi