Habari

news image

MTENDAJI MKUU TEMESA APOKEA KIVUKO CHA MV ILEMELA-MWANZA

Posted on: April 19, 2020

Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) umepokea Kivuko cha MV Ilemela kilichotengenezwa kwa gharama ya Sh.bilioni 2.7 zilizotolewa na Serikali ya Tanzania........

Soma zaidi
news image

VIVUKO TEMESA VYAJIIMARISHA KUZUIA CORONA

Posted on: April 08, 2020

Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kupitia Vivuko vyake vyote nchini imeendelea kujidhatiti kwa kuhakikisha hakuna ongezeko la maambukizi ya homa kali ya mapafu inayoambukizwa na virusi vya Corona (Covid-19)........

Soma zaidi
news image

MWENYEKITI WA BODI TEMESA AAGIZA UJENZI KIVUKO MAFIA NYAMISATI KUKAMILISHWA MAPEMA

Posted on: April 05, 2020

Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Profesa Eng. Idrissa B. Mshoro ameuagiza uongozi wa Wakala huo kuhakikisha wanafuatilia kwa ukaribu maendeleo ya ujenzi na ukamilishaji wa kivuko kipya........

Soma zaidi
news image

WAZIRI KAMWELWE AWAFUNDA MAMENEJA TEMESA

Posted on: March 13, 2020

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe leo amefanya kikao na menejimenti ya TEMESA pamoja na mameneja wa Mikoa na vituo wa Wakala huo ambapo amewataka kuhakikisha wanajiimarisha ili........

Soma zaidi
news image

MTENDAJI MKUU TEMESA AKABIDHI MTAMBO KWA CHUO CHA UJENZI MOROGORO

Posted on: February 18, 2020

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle amekabidhi mtambo kwa Chuo cha Ujenzi Morogoro (MWTI), mtambo huo ambao........

Soma zaidi