Habari
NIMERIDHISHWA NA UJENZI KIVUKO CHA MAFIA-MAJALIWA
Posted on: October 05, 2020Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameridhishwa na ujenzi wa kivuko cha Mafia ambacho kitatoa huduma za usafiri na usafirishaji wa abiria na mizigo kati ya Nyamisati na Mafia.........
Soma zaidiKIVUKO KIPYA BUGOROLA UKARA MBIONI KUKAMILIKA
Posted on: October 05, 2020Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Maselle, Mkurugenzi Msaidizi Huduma za Ufundi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Lazaro Vazuri........
Soma zaidiWAJUMBE BODI YA USHAURI TEMESA WAPONGEZA KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI
Posted on: October 02, 2020Wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA MAB) wameupongeza Wakala huo kwa kufanya juhudi kubwa kuhakikisha miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha wa 2019/2020 inatekelezwa na kumalizika kwa wakati........
Soma zaidiMTENDAJI MKUU TEMESA AIPONGEZA KAMATI YA UKAGUZI WA MAHESABU
Posted on: September 24, 2020Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Maselle leo ameshiriki katika hafla fupi ya kuiaga kamati ya ukaguzi wa mahesabu yaTEMESA ilyopita na kuikaribisha........
Soma zaidiKATIBU MKUU MWAKALINGA AIAGIZA TEMESA KUTUNZA NA KUHESHIMU RASILIMALI WATU
Posted on: September 11, 2020Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius A. Mwakalinga ameutaka Wakala huo kutumia Baraza la Wafanyakazi kuhakikisha ...
Soma zaidi