MENEJIMENTI YA WAKALA

1.Mhandisi. Japhet Y. Maselle - Mtendaji Mkuu

2. Mhandisi. Sylvester J. Simfukwe - Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Matengenezo na Huduma za Ufundi

3. Mhandisi. Adelardi P. Kweka - Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uendeshaji na Ujenzi wa Vivuko

4. Bwana. Senzo F. Gwanchele - Meneja Mipango na Usimamizi

5. Mhandisi. Grayson G. Maleko - Meneja Ufundi na Ukodishaji Mitambo

6. Bi. Mkola P. Mackona - Kaimu Meneja Rasilimali Watu na Utawala

7. Bwana. Martin G. Kasambala - Kaimu Meneja Usimamizi wa Ununuzi

8. Mhandisi. Juma H.Mbegete - Kaimu Meneja wa Ujenzi na Matengenezo ya Vivuko

9. Mhandisi. Manase L. Le-kujan - Kaimu Meneja wa Huduma za Ushauri

10. Mhandisi. Aurelia P. Ngopa - Meneja Umeme na Elektroniki

11. Bwana. Abdi S. Kagomba - Meneja wa Huduma za Sheria

12. Bi. Theresia J. Mwami - Kaimu Mkuu wa Masoko na Mahusiano kwa Umma

13. Mhandisi. Grace L. Beo - Mkuu wa TEHAMA na Takwimu