Habari

news image

SERIKALI YAPOKEA KIVUKO CHA BILIONI 5.3 MAFIA NYAMISATI

Posted on: February 02, 2021

...

Soma zaidi
news image

KATIBU MKUU UJENZI APOKEA KIVUKO CHA MV.PANGANI II BAADA YA KUFANYIWA UKARABATI

Posted on: October 21, 2020

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch.Elius Mwakalinga leo amekipokea rasmi kivuko cha MV.PANGANI II........

Soma zaidi
news image

SERIKALI YASHUSHA KIVUKO CHA BILIONI 4.2 UKARA

Posted on: October 19, 2020

Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) leo imefanikiwa kurejesha faraja ya wakazi wa visiwa vya Bugorola na Ukara baada ya kuzindua kivuko kipya kilichogharimu shilingi bilioni 4.2, MV.UKARA II (HAPA KAZI TU)........

Soma zaidi
news image

KIVUKO CHA MV UKARA II NJIANI KUELEKEA BUGOROLA UKARA

Posted on: October 18, 2020

Kivuko kipya cha MV.UKARA II HAPA KAZI TU kimeanza safari ya kuelekea visiwa vya Ukerewe katika maeneo ya Bugorola Ukara kwa ajili ya kuanza kutoa huduma. Kivuko hicho kimeanza safari mapema asubuhi ya leo........

Soma zaidi
news image

WAKAZI BUGOROLA - UKARA KIVUKO TAYARI MAJINI

Posted on: October 12, 2020

Wakazi wa Bugorola na Ukara wanatarajia kupelekewa kivuko kipya baada ya siku chache zijazo kufuatia kukamilika kwa ujenzi wa kivuko cha MV. UKARA II HAPA KAZI TU. Kivuko hicho ambacho ujenzi wake umefanywa na kampuni ya kizalendo ya Songoro Marine Transport ya jijini Mwanza kwa gharama ya shilingi bilioni 4.2 ........

Soma zaidi