Habari
UJENZI WA KIVUKO KIPYA KAYENZE BEZI WAANZA RASMI
Posted on: March 13, 2019Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme nchini TEMESA imefanikisha kuanza rasmi kwa ujenzi wa kivuko kipya kitakachotoa huduma kati ya Kayenze na Bezi Wilayani Ilemela mkoani Mwanza. Zoezi la uwekaji msingi wa........
Soma zaidiMTENDAJI MKUU TEMESA ZIARANI MIKOA YA IRINGA, NJOMBE, MBEYA, RUKWA NA KATAVI
Posted on: March 13, 2019Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle ameendelea na ziara ya kutembelea mikoa mbalimbali kusikiliza changamoto pamoja na kukagua shughuli za utendaji kazi na safari hii ametembelea mikoa ya Iringa, Njombe, Mbeya, Rukwa na Katavi kukagua........
Soma zaidi
MTENDAJI MKUU TEMESA ATEMBELEA MIKOA YA MANYARA, TABORA, KIGOMA NA RUFIJI PWANI
Posted on: March 13, 2019Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle ameendelea na ziara ya kutembelea mikoa mbalimbali kusikiliza changamoto pamoja na kukagua shughuli za utendaji kazi na safari hii ametembelea mikoa ya Manyara, Tabora, Kigoma na Pwani na........
Soma zaidiMTENDAJI MKUU TEMESA AFANYA ZIARA MIKOA YA ARUSHA NA KILIMANJARO
Posted on: March 13, 2019Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle amefanya ziara katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro na kuwataka wafanyakazi wa Wakala huo katika mikoa hiyo kuongeza juhudi katika........
Soma zaidiMTENDAJI MKUU AITAKA TEMESA TANGA KUONGEZA UZALISHAJI
Posted on: March 13, 2019Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Mhandisi Japhet Y. Maselle, amehitimisha ziara yake mkoani Tanga kwa kuwataka........
Soma zaidi