Habari

news image

WAKAZI BUGOROLA - UKARA KIVUKO TAYARI MAJINI

Posted on: October 12, 2020

Wakazi wa Bugorola na Ukara wanatarajia kupelekewa kivuko kipya baada ya siku chache zijazo kufuatia kukamilika kwa ujenzi wa kivuko cha MV. UKARA II HAPA KAZI TU. Kivuko hicho ambacho ujenzi wake umefanywa na kampuni ya kizalendo ya Songoro Marine Transport ya jijini Mwanza kwa gharama ya shilingi bilioni 4.2 ........

Soma zaidi
news image

KATIBU MKUU WIZARA YA UJENZI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO MV.UKARA

Posted on: October 09, 2020

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga leo amefika katika yadi ya Songoro iliyopo Ilemela Mkoani Mwanza kukagua maendeleo ya ujenzi wa kivuko kipya cha MV.UKARA kinachoendelea kujengwa........

Soma zaidi
news image

MKUU WA MKOA MWANZA AKAGUA UJENZI KIVUKO KIPYA CHA BUGOROLA UKARA

Posted on: October 06, 2020

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa kivuko kipya cha Bugorola Ukara (MV. UKARA II) ambacho ujenzi wake unaendelea katika yadi ya Songoro iliyopo Wilayani Ilemela Mkoani Mwanza........

Soma zaidi
news image

NIMERIDHISHWA NA UJENZI KIVUKO CHA MAFIA-MAJALIWA

Posted on: October 05, 2020

​Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameridhishwa na ujenzi wa kivuko cha Mafia ambacho kitatoa huduma za usafiri na usafirishaji wa abiria na mizigo kati ya Nyamisati na Mafia.........

Soma zaidi
news image

KIVUKO KIPYA BUGOROLA UKARA MBIONI KUKAMILIKA

Posted on: October 05, 2020

​Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Maselle, Mkurugenzi Msaidizi Huduma za Ufundi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Lazaro Vazuri........

Soma zaidi