Habari

news image

KIVUKO CHA MV. ILEMELA CHAFANYIWA MAJARIBIO

Posted on: January 29, 2020

Kivuko kipya cha MV.Ilemela leo kimefanyiwa majaribio na kushuhudiwa na mamia ya wakazi wa Wilaya ya Ilemela akiwemo Mbunge wa jimbo hilo Dkt.Angelina Mabula....

Soma zaidi
news image

KIVUKO KIPYA CHA KAYENZE BEZI (MV.ILEMELA) CHASHUSHWA KWENYE MAJI

Posted on: January 07, 2020

Wakazi wa Ilemela mkoa wa Mwanza leo wameshuhudia kwa mara ya kwanza kivuko kipya cha Kayenze Bezi, MV.Ilemela........

Soma zaidi
news image

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA GAWIO LA BILIONI 1.13 KUTOKA TEMESA

Posted on: November 26, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akipokea mfano wa hundi ya Shilingi Bilioni 1.13 ikiwa ni gawio la Wakala wa Ufundi na Umeme........

Soma zaidi
news image

MAFANIKIO YA MIAKA MINNE YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO KWA WAKALA WA UFUNDI NA UMEME (TEMESA).

Posted on: November 14, 2019

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Maselle leo amezungumza na waandishi wa habari ambapo amewaeleza mafanikio ya miaka minne ya serikali ya awamu ya tano........

Soma zaidi
news image

KIVUKO CHA BILIONI 5.3 KUTUA MAFIA NYAMISATI FEBRUARI MWAKANI

Posted on: October 28, 2019

Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Mhandisi Elias Kwandikwa amezindua ujenzi wa kivuko kipya cha Mafia Nyamisati........

Soma zaidi