Habari
RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA GAWIO LA BILIONI 1.13 KUTOKA TEMESA
Posted on: November 26, 2019Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akipokea mfano wa hundi ya Shilingi Bilioni 1.13 ikiwa ni gawio la Wakala wa Ufundi na Umeme........
Soma zaidiMAFANIKIO YA MIAKA MINNE YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO KWA WAKALA WA UFUNDI NA UMEME (TEMESA).
Posted on: November 14, 2019Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Maselle leo amezungumza na waandishi wa habari ambapo amewaeleza mafanikio ya miaka minne ya serikali ya awamu ya tano........
Soma zaidiKIVUKO CHA BILIONI 5.3 KUTUA MAFIA NYAMISATI FEBRUARI MWAKANI
Posted on: October 28, 2019Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Mhandisi Elias Kwandikwa amezindua ujenzi wa kivuko kipya cha Mafia Nyamisati........
Soma zaidi
KWANDIKWA AAGIZA BILIONI 32 ZILIPWE TEMESA
Posted on: October 28, 2019Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Mhandisi Elias Kwandikwa ameziagiza taasisi zote za serikali zinazodaiwa madeni na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) yanayofikia jumla ya shilingi bilioni 32 kuhakikisha........
Soma zaidi
VIVUKO VYA BILIONI 7.3 KUKAMILIKA FEBRUARI MWAKANI
Posted on: October 02, 2019Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) inatarajiwa kukamilisha ujenzi wa vivuko viwili vipya vinavyogharimu jumla ya shilingi bilioni 7.3 ifikapo mwezi Februari mwaka 2020........
Soma zaidi