Habari
SERIKALI YATOA BILIONI 66.5 KUTEKELEZA MIRADI TEMESA
Posted on: September 25, 2019Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano kupitia Katibu Mkuu na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kupitia Mtendaji Mkuu wamesaini mkataba wa utendaji kazi wa Wakala huo ambapo ndani yake ipo miradi yenye thamani ya shilingi Bilioni 66.5 itakayotekelezwa........
Soma zaidiMWENYEKITI BODI YA USHAURI AZURU TEMESA
Posted on: September 24, 2019Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Profesa Eng. Iddris Bilali Mshoro amezuru........
Soma zaidi
SERIKALI YAZINDUA UJENZI WA VIVUKO VIPYA VYA BUGOROLA-UKARA, CHATO-NKOME
Posted on: August 27, 2019SERIKALI imezindua rasmi ujenzi wa vivuko vipya viwili vya kisasa vitakavyotoa huduma ya kusafirisha abiria, mizigo na magari kati ya Bugorola-Ukara Wilaya ya Ukerewe Mkoa wa Mwanza na Chato-Nkome Wilaya ya Chato mkoani........
Soma zaidiWAZIRI KAMWELWE AKAGUA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA KIVUKO KIPYA CHA MAFIA NYAMISATI
Posted on: August 26, 2019Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amefanya ziara kukagua eneo la mradi wa ujenzi wa kivuko kipya kitakachotoa huduma kati ya Mafia na Nyamisati........
Soma zaidiTEMESA YASHIKA NAFASI YA PILI TAASISI ZA UMMA NANENANE SIMIYU
Posted on: August 08, 2019Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA umeshinda Cheti cha Ushindi pamoja na Kikombe kwa kuwa mshindi wa pili........
Soma zaidi