Habari
WAZIRI KAMWELWE AWAFUNDA MAMENEJA TEMESA
Posted on: March 13, 2020Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe leo amefanya kikao na menejimenti ya TEMESA pamoja na mameneja wa Mikoa na vituo wa Wakala huo ambapo amewataka kuhakikisha wanajiimarisha ili........
Soma zaidiMTENDAJI MKUU TEMESA AKABIDHI MTAMBO KWA CHUO CHA UJENZI MOROGORO
Posted on: February 18, 2020Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle amekabidhi mtambo kwa Chuo cha Ujenzi Morogoro (MWTI), mtambo huo ambao........
Soma zaidiUKARABATI KIVUKO CHA MV. PANGANI II WAKAMILIKA
Posted on: February 09, 2020Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Eng. Japhet Y. Maselle amekagua kivuko cha MV. PANGANI II baada ya Kukamilika kwa ukarabati wake. Kivuko hicho kimefanyiwa ukarabati mkubwa ikiwemo kubadilishiwa mfumo mpya ........
Soma zaidiTEMESA YAFANYA KIKAO CHA MAPITIO YA UTENDAJI KAZI KWA NUSU MWAKA 2019/20
Posted on: February 05, 2020Mameneja wa mikoa na vituo wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wamefanya kikao cha mapitio ya taarifa ya utendaji kazi wa nusu mwaka........
Soma zaidiKIVUKO CHA MV. ILEMELA CHAFANYIWA MAJARIBIO
Posted on: January 29, 2020Kivuko kipya cha MV.Ilemela leo kimefanyiwa majaribio na kushuhudiwa na mamia ya wakazi wa Wilaya ya Ilemela akiwemo Mbunge wa jimbo hilo Dkt.Angelina Mabula....
Soma zaidi