Habari

news image

TEMESA YAFANYA KIKAO CHA WADAU MKOA WA KILIMANJARO NA ARUSHA

Posted on: July 17, 2019

Vikao vya Wadau wa Wakala wa Ufundi na Umeme nchini (TEMESA) kujadili huduma za wakala na kupata mrejesho wa namna zinavyotolewa vimeendelea wiki hii ambapo maafisa waTEMESA wametembelea mikoa ya Kilimanjaro na Arusha.......

Soma zaidi
news image

TEMESA TANGA YAALIKA WADAU KUSIKILIZA KERO ZAO

Posted on: July 11, 2019

Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) mkoa wa Tanga jana umealika wadau wanaotumia huduma zake ili kujadilli na kupata mrejesho kuhusu namna........

Soma zaidi
news image

UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. PANGANI II MBIONI KUKAMILIKA

Posted on: July 04, 2019

Kivuko cha MV. Pangani II ambacho awali kilikua kikijulikana kama MV. Utete kinatarajiwa kukamilika hivi karibuni na kuanza kutoa huduma katika mto Pangani kati ya Pangani na Bweni mkoani Tanga. Kivuko hicho ambacho ...

Soma zaidi
news image

TEMESA SINGIDA YAAGIZWA KUTUMIA VIZURI RASILIMALI WATU

Posted on: June 13, 2019

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle mwishoni mwa wiki hii ametembelea karakana ya Wakala huo mkoa wa Singida na kumuagiza kaimu meneja kujitahidi kutumia vizuri rasilimali watu........

Soma zaidi
news image

MTENDAJI MKUU TEMESA ATEMBELEA NA KUKAGUA KARAKANA MPYA IFAKARA

Posted on: June 11, 2019

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle ametembelea na kukagua karakana mpya ya TEMESA iliyopo katika Halmashauri ya mji wa Ifakara wilayani Kilombero mkoani Morogoro. Karakana hiyo ambayo imefunguliwa Juni mosi mwaka huu........

Soma zaidi