Habari

news image

WAZIRI KAMWELWE AKAGUA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA KIVUKO KIPYA CHA MAFIA NYAMISATI

Posted on: August 26, 2019

Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amefanya ziara kukagua eneo la mradi wa ujenzi wa kivuko kipya kitakachotoa huduma kati ya Mafia na Nyamisati........

Soma zaidi
news image

TEMESA YASHIKA NAFASI YA PILI TAASISI ZA UMMA NANENANE SIMIYU

Posted on: August 08, 2019

Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA umeshinda Cheti cha Ushindi pamoja na Kikombe kwa kuwa mshindi wa pili........

Soma zaidi
news image

TEMESA YASHIRIKI MAONESHO YA WAKULIMA NANENANE SIMIYU

Posted on: August 03, 2019

Wakala wa Ufundi na Umeme nchini TEMESA unashiriki Maonesho ya Wakulima Nanenane Kitaifa mwaka 2019 ambayo yameanza rasmi huko mkoani Simiyu, maonesho hayo.......

Soma zaidi
news image

WAZIRI MHANDISI KAMWELWE ATOA MIEZI MITATU KWA TEMESA

Posted on: July 17, 2019

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, ametoa miezi mitatu kwa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kuacha kuelekeza magari ya Serikali kwenye.... ...

Soma zaidi
news image

TEMESA YAFANYA KIKAO CHA WADAU MKOA WA KILIMANJARO NA ARUSHA

Posted on: July 17, 2019

Vikao vya Wadau wa Wakala wa Ufundi na Umeme nchini (TEMESA) kujadili huduma za wakala na kupata mrejesho wa namna zinavyotolewa vimeendelea wiki hii ambapo maafisa waTEMESA wametembelea mikoa ya Kilimanjaro na Arusha.......

Soma zaidi