Habari
TEMESA SINGIDA YAAGIZWA KUTUMIA VIZURI RASILIMALI WATU
Posted on: June 13, 2019Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle mwishoni mwa wiki hii ametembelea karakana ya Wakala huo mkoa wa Singida na kumuagiza kaimu meneja kujitahidi kutumia vizuri rasilimali watu........
Soma zaidiMTENDAJI MKUU TEMESA ATEMBELEA NA KUKAGUA KARAKANA MPYA IFAKARA
Posted on: June 11, 2019Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle ametembelea na kukagua karakana mpya ya TEMESA iliyopo katika Halmashauri ya mji wa Ifakara wilayani Kilombero mkoani Morogoro. Karakana hiyo ambayo imefunguliwa Juni mosi mwaka huu........
Soma zaidiMAMENEJA TEMESA WAHIMIZWA KUBORESHA UTENDAJI KAZI WA KARAKANA
Posted on: May 24, 2019Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle amewataka mameneja wa Wakala huo wa mikoa yote nchini kuboresha utendaji kazi wa karakana za mikoa wanayoisimamia kwa kujifunza na........
Soma zaidiTEMESA YAFUNGA TAA KUZUNGUKA UKUTA WA MACHIMBO YA MERERANI
Posted on: April 29, 2019Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle pamoja na mameneja wa mikoa mitatu wamekagua kazi ya ufungaji wa taa katika........
Soma zaidiNaibu Waziri Ujenzi aitaka TEMESA kutumia mifumo ya Kielektroniki kivukoni
Posted on: April 16, 2019NAIBU Waziri wa Ujenzi Mhe. Elias John Kwandikwa ameutaka Wakala wa Ufundi na Umeme nchini (TEMESA), kufanya kazi kwa kutumia mifumo ya kisasa ya kieletroniki ili........
Soma zaidi