Habari

news image

SERIKALI YASIMIKA TAA ZA KUONGOZEA MAGARI MANISPAA YA MOROGORO

Posted on: October 03, 2018

Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme nchini (TEMESA) kikosi cha Umeme, imefanikisha mradi wa kufunga taa za kuongozea magari (Traffic lights) katika Manispaa ya Morogoro. Taa hizo za kisasa ambazo zinatumia nishati ya jua.............

Soma zaidi
news image

MAADHIMISHO YA WIKI YA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KITAIFA DODOMA YAMALIZIKA

Posted on: September 02, 2018

​Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini Thobias Andengenye.......

Soma zaidi
news image

TEMESA KUSIMIKA TAA ZA BARABARANI KISIWANI ZANZIBAR

Posted on: August 27, 2018

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Bw. Mustafa Aboud Jumbe na kaimu Meneja wa Kikosi cha Umeme kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Pongeza Semakuwa wametia saini mkataba wa mradi wa.......

Soma zaidi
news image

Nane Nane 2018 Nyakabindi

Posted on: August 02, 2018

Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) unashiriki ​maonesho ya Wakulima (Nane Nane) yanayofanyika kitaifa katika Viwanja vya Nyakabindi wilaya ya Bariadi mkoa wa Simiyu. ...

Soma zaidi
news image

MV. NYERERE

Posted on: July 15, 2018

KIVUKO CHA MV. NYERERE CHAFUNGWA INJINI MPYA...

Soma zaidi