MAFANIKIO YA MIAKA MINNE YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO KWA WAKALA WA UFUNDI NA UMEME (TEMESA).
Posted On: November 14, 2019
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Maselle leo amezungumza na waandishi wa habari ambapo amewaeleza mafanikio ya miaka minne ya serikali ya awamu ya tano kwa kwa Wakala. Kikao hicho cha waandishi wa habari kimefanyika katika ukumbi wa Habari Maelezo jijini Dodoma,