Habari
KATIBU MKUU WIZARA YA UJENZI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO MV.UKARA
Posted on: October 09, 2020Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga leo amefika katika yadi ya Songoro iliyopo Ilemela Mkoani Mwanza kukagua maendeleo ya ujenzi wa kivuko kipya cha MV.UKARA kinachoendelea kujengwa........
Soma zaidiMKUU WA MKOA MWANZA AKAGUA UJENZI KIVUKO KIPYA CHA BUGOROLA UKARA
Posted on: October 06, 2020Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa kivuko kipya cha Bugorola Ukara (MV. UKARA II) ambacho ujenzi wake unaendelea katika yadi ya Songoro iliyopo Wilayani Ilemela Mkoani Mwanza........
Soma zaidiNIMERIDHISHWA NA UJENZI KIVUKO CHA MAFIA-MAJALIWA
Posted on: October 05, 2020Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameridhishwa na ujenzi wa kivuko cha Mafia ambacho kitatoa huduma za usafiri na usafirishaji wa abiria na mizigo kati ya Nyamisati na Mafia.........
Soma zaidiKIVUKO KIPYA BUGOROLA UKARA MBIONI KUKAMILIKA
Posted on: October 05, 2020Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Maselle, Mkurugenzi Msaidizi Huduma za Ufundi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Lazaro Vazuri........
Soma zaidiWAJUMBE BODI YA USHAURI TEMESA WAPONGEZA KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI
Posted on: October 02, 2020Wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA MAB) wameupongeza Wakala huo kwa kufanya juhudi kubwa kuhakikisha miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha wa 2019/2020 inatekelezwa na kumalizika kwa wakati........
Soma zaidi