TEMESA YAANZA VIZURI MASHINDANO MEI MOSI

News Image

Posted On: April 18, 2022

TEMESA yaanza vizuri mashindano ya Mei Mosi. Yaitungua timu ya Ngorongoro bao mbili kwa moja katika mchezo mkali na wa kusisimua uliofanyika katika uwanja wa Kilimani mjini Dodoma. Kibarua kuendelea kesho ambapo TEMESA itacheza na timu ya Ardhi saa moja asubuhi katika uwanja wa Wajenzi.