News

news image

MTENDAJI MKUU TEMESA ZIARANI MIKOA YA IRINGA, NJOMBE, MBEYA, RUKWA NA KATAVI

Posted on: March 13, 2019

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle ameendelea na ziara ya kutembelea mikoa mbalimbali kusikiliza changamoto pamoja na kukagua shughuli za utendaji kazi na safari hii ametembelea mikoa ya Iringa, Njombe, Mbeya, Rukwa na Katavi kukagua........

Read More
news image

MTENDAJI MKUU TEMESA ATEMBELEA MIKOA YA MANYARA, TABORA, KIGOMA NA RUFIJI PWANI

Posted on: March 13, 2019

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle ameendelea na ziara ya kutembelea mikoa mbalimbali kusikiliza changamoto pamoja na kukagua shughuli za utendaji kazi na safari hii ametembelea mikoa ya Manyara, Tabora, Kigoma na Pwani na........

Read More
news image

MTENDAJI MKUU TEMESA AFANYA ZIARA MIKOA YA ARUSHA NA KILIMANJARO

Posted on: March 13, 2019

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle amefanya ziara katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro na kuwataka wafanyakazi wa Wakala huo katika mikoa hiyo kuongeza juhudi katika........

Read More
news image

MTENDAJI MKUU AITAKA TEMESA TANGA KUONGEZA UZALISHAJI

Posted on: March 13, 2019

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Mhandisi Japhet Y. Maselle, amehitimisha ziara yake mkoani Tanga kwa kuwataka........

Read More