News

news image

WAZIRI MHANDISI KAMWELWE ATOA MIEZI MITATU KWA TEMESA

Posted on: July 17, 2019

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, ametoa miezi mitatu kwa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kuacha kuelekeza magari ya Serikali kwenye.......

Read More
news image

TEMESA YAFANYA KIKAO CHA WADAU MKOA WA KILIMANJARO NA ARUSHA

Posted on: July 17, 2019

Vikao vya Wadau wa Wakala wa Ufundi na Umeme nchini (TEMESA) kujadili huduma za wakala na kupata mrejesho wa namna zinavyotolewa vimeendelea wiki hii ambapo maafisa waTEMESA wametembelea mikoa ya Kilimanjaro na Arusha.......

Read More
news image

TEMESA TANGA YAALIKA WADAU KUSIKILIZA KERO ZAO

Posted on: July 11, 2019

Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) mkoa wa Tanga jana umealika wadau wanaotumia huduma zake ili kujadilli na kupata mrejesho kuhusu namna........

Read More
news image

UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. PANGANI II MBIONI KUKAMILIKA

Posted on: July 04, 2019

Kivuko cha MV. Pangani II ambacho awali kilikua kikijulikana kama MV. Utete kinatarajiwa kukamilika hivi karibuni na kuanza kutoa huduma katika mto Pangani kati ya Pangani na Bweni mkoani Tanga. Kivuko hicho ambacho ...

Read More