HOTUBA YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023

News Image

Posted On: May 23, 2022

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mbarawa leo amewasilisha Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha wa 2022/2023 mbele ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.