MAFUNZO YA MFUMO WA USIMAMIZI WA KAZI ZA MATENGENEZO MUM DAR ES SALAAM
Mkurugenzi wa Matengenezo na Huduma za Ufundi TEMESA, Mhandisi Hassan Karonda, akitoa neno la ufunguzi kwa watumishi kutoka Taasisi mbalimbali za Umma na washitiri/wamiliki wa gereji teule waliohudhuria mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa Kazi za Matengenezo MUM yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano karakana za MT DEPOT jijini Dar es salaam