ULEGA AKEMEA UBABAISHAJI NA RUSHWA

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega akizungumza jambo kwa Mameneja wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kutoka Mikoa yote nchini alipokutana nao katika kikao kazi kilichofanyika jijini Dodoma.