MABORESHO KARAKANA TEMESA ARUSHA KUCHOCHEA KASI YA HUDUMA BORA
Meneja wa TEMESA Mkoa wa Arusha Mha. Elirehema Mmari, ameishukuru Serikali kwa kuuwezesha Wakala kuendelea kufanya maboresho makubwa ya karakana Tanzania nzima kwa kununua vifaa vya kisasa na kuanza ujenzi wa karakana za kisasa