KONGAMANO LA MADEREVA WA SERIKALI
Afisa Masoko (TEMESA) Bi.Salama Nkonya akimkabidhi tuzo Mwenyekiti wa chama cha madereva wa serikali Bi Frolah Mnyandavile, kwa kutambua mchango wao katika kuhakikisha shughuli za maendeleo na uchumi zinaenda vizuri.