Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA)
"Huduma Bora kwa Fursa za Maendeleo"
Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA)
KONGAMANO LA MADEREVA WA SERIKALI
Afisa Masoko Bi.Salama Nkonya akimkabidhi tuzo muasisi wa chama cha madereva Bwa Bahatisha Makala, kwa kuthamini mchango wake wa kuanzisha chama cha madereva wa serikali.