UFUNGUZI WA KONGAMANO LA MADEREVA WA SERIKALI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Agosti 20 wakati wa ufunguzi wa kongamano la madereva wa serikali lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC). Waziri Mkuu ametembelea banda la maonesho la TEMESA na kujionea vifaa mbalimbali vya kisasa vinavyotumiwa na wakala huo katika matengenezo ya magari ikiwemo karakana inayotembea.