​BASHUNGWA ATOA MIEZI MIWILI TEMESA KUFANYA MAGEUZI

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, akizungumza na menejimenti na Mameneja wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), kutoka Mikoa yote nchini wakati wa kikao ambapo TEMESA ilitoa Wasilisho la Maboresho na Mikakati ya Wakala huo, jijini Dodoma.