TEMESA NA TRA ZASAINI MKATABA WA UTOAJI HUDUMA ZA MATENGENEZO

Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) na Mamlaka ya Mapato Tanzaia (TRA) leo zimesaini mkataba wa utoaji wa Huduma za Matengenezo.