KIKAO KAZI CHA MENEJIMENTI ZA UJENZI

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA ),Lazaro Kilahala pamoja na Menejimenti ya Wakala huo leo wamehudhuria Kikao Kazi kati ya Menejimenti ya Sekta ya Ujenzi na Menejimenti za Taasisi za Sekta hiyo kilichofanyika mjini Tanga.