TEMESA TRA ZAINGIA MAKUBALIANO MATENGENEZO YA MAGARI
Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania TEMESA umeingia makubaliano ya kiungwana (Memorandum of Understanding) na Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA kwa lengo la kuboresha huduma za matengenezo ya magari, kangavute pamoja na vyombo vingine vya moto.