Kivuko cha MV. KAZI kinachotoa huduma kati ya Magogoni na Kigamboni sasa kurejea kutoa huduma mwishoni mwa mwezi huu.