TEMESA INATEKELEZA MIRADI MIKUBWA YA UMEME BARIADI MKOANI SIMIYU

Ofisi ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mkoa wa Simiyu inaendelea na miradi ya kusimika mifumo ya Umeme, Elektroniki, Viyoyozi na Viashiria moto katika Halmashauri ya mji wa Bariadi Mkoani Simiyu.