Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) leo imefanikiwa kurejesha faraja ya wakazi wa visiwa vya Bugorola na Ukara baada ya kuzindua kivuko kipya kilichogharimu shilingi bilioni 4.2, MV.UKARA II (HAPA KAZI TU).....
Kivuko kipya cha MV.UKARA II HAPA KAZI TU kimeanza safari ya kuelekea visiwa vya Ukerewe katika maeneo ya Bugorola Ukara kwa ajili ya kuanza kutoa huduma. Kivuko hicho kimeanza safari mapema asubuhi ya leo.....