TEMESA YASHIRIKI KIKAO CHA FARAGHA CHA WAKUU WA TAASISI ZA WIZARA YA UJENZI KIBAHA

News Image

Posted On: October 11, 2026

Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi wameshiriki kikao cha faragha cha Wizara kilichofanyika Oktoba 9, 2026, katika Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere, Kibaha, Mkoa wa Pwani. Mgeni rasmi kwenye kikao hicho ni Waziri wa Ujenzi Mhe. Masanja Kadogosa

Kikao hicho kimeambataana na Mafunzo ya siku 3 kuhusu umuhimu wa uwajibikaji, ushirikiano na matumizi sahihi ya rasilimali za Serikali kwa lengo la kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya Wizara na kuimarisha maendeleo ya miundombinu nchini