TEMESA YAFANYA KIKAO CHA MAPITIO YA UTENDAJI KAZI KWA NUSU MWAKA 2019/20

Mameneja wa mikoa na vituo wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wamefanya kikao cha mapitio ya taarifa ya utendaji kazi wa nusu mwaka kwa mwaka wa fedha 2019/2020 kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha mapema leo.