RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA GAWIO LA BILIONI 1.13 KUTOKA TEMESA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli amepokea Gawio la shilingi Bilioni 1.13 kutoka kwa Wakala wa Ufundi na Umeme nchini TEMESA.