MTENDAJI MKUU TEMESA AKAGUA VIVUKO VINAVYOTOA HUDUMA MKOANI KAGERA

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle amefanya ziara katika mkoa wa Kagera ambapo ametembelea vivuko vinavyotoa huduma katika Mto Kagera .