TEMESA FC YAIFUNGA EGA BAO MOJA KWA SIFURI

Timu ya TEMESA FC leo imeifunga timu ya EGA bao moja kwa sifuri katika mchezo wa kirafiki uliofanyika katika uwanja wa TPCD Mikocheni jijini Dar es Salaam. Bao pekee la mchezo ho limefungwa na Twaha Simba kutoka kikosi ch Umeme.