TEMESA YASHINDA NAFASI YA PILI MAONESHO NANENANE SIMIYU

TEMESA yashinda cheti cha Ushindi na kikombe baada ya kushika nafasi ya pili kwa Taasisi za Umma katika Maonesho ya Wakulima Nanenane Simiyu.