WAZIRI WA UJENZI ATEMBELEA TEMESA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe ametembelea ofisi za Wakala wa Ufundi na Umeme nchini (TEMESA) kujionea hali ya utendaji kazi. Mhandisi Kamwelwe pia alipata wasaa wa kukagua karakana ya Wakala huo MT.Depot iliyopo Keko.