TEMESA TANGA YAALIKA WADAU KUSIKILIZA KERO ZAO

Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) mkoa wa Tanga jana umealika wadau wanaotumia huduma zake ili kujadilli na kupata mrejesho kuhusu namna zinavyotolewa.