UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. PANGANI II MBIONI KUKAMILIKA

Kivuko cha MV. Pangani II ambacho awali kilikua kikijulikana kama MV. Utete kinatarajiwa kukamilika hivi karibuni na kuanza kutoa huduma katika mto Pangani kati ya Pangani na Bweni mkoani Tanga.