TAARIFA KWA UMMA

Posted On Wednesday 7th Aug , 2019

TAARIFA KWA UMMA

Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) unapenda kuhabarisha Umma kuwa umehamishia rasmi ofisi yake ya makao makuu mjini DODOMA katika ofisi zilizopo jengo la PSSSF zamani LAPF mtaa wa Makole Uhindini kuanzia tarehe 19 Agosti 2019.

Mawasiliano ya Wakala yatakayotumika kuanzia sasa ni kama ifuatavyo:

Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA),

Barabara ya Makole,

S.L.P 1075,

Jengo la PSSSF, Ghorofa ya 8,

DODOMA.

Namba za Simu: +255-22-28662796/97

Nukushi:+255-22-2865835

Namba ya Bure: 0800110379

Imetolewa na:

Kitengo cha Masoko na Uhusiano

TEMESA